Tuma Ripoti Mpya |
Fuatia ripoti yenye kuwa |
|
Hutoa simu za moja kwa moja za siri na bila kutaja jina kwa matengenezo duniani pote.
Lengo la NAVEX ni kuhakikisha kwamba unaweza kuwasilisha masuala na wasiwasi unaohusiana na shughuli zisizo za kimaadili au haramu kwa usalama na kwa uaminifu kupitia wasimamizi wa shirika au bodi ya wakurugenzi huku ukidumisha kutokujulikana kwako na usiri wako. Tunajaribu kufanya kuarifu mambo au wasiwasi kuwe kwepesi na bila matata. Kurasa za internet zinazofuata zitakuongoza katika utaratibu wa kuarifu zikilinda siri na bila kutaja jina lako kwa kila hatua. Fuata hatua hizi kwa kutuma ripoti yako.
Baada ya kutuma ripoti yako, utapewa namba ya siri (Report Key). Neno lako la siri na namba yako ya siri zitakuwezesha kufuatia ripoti yako. |
|